House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #180k
==
Chumba sebule Choo na jiko zuri ndani
==
Kodi 180,000 Kwa mwezi ร 4
===
Umbali KM 1.2 kutoka Morogoro Road Usafiri bajaji bodaboda na haice
===
Inajitegemea umeme na maji yanawekwa ndani chooni na jikon
===
Ndani ya fence ya waya na michongoma na geti lipo
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
0679447338
0753454167