House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI 350,000x6
====
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
===
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 2 Bajaji zipo ukishuka unapiga teke mlango bodaboda 1000
==
Ndani ya fence parking IPO
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number ⬅️ 0689-547258