House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
ZIKO 4 KTK COMPAUND MOJA, INAJITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700
KODI 200,000/= KWA MWEZI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670