House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 × 6) KIMARA SUKA
——
APARTMENT ZA KUPANGISHA KIMARA SUKA 350,000 × 6
IPO ZIPO #KIMARA_SUKA
IPO DK 8 - 10 KWA MIGUU KUTOKA KITUONI
KWA SASA ZIPO TAYARI NA ZIMEBAKI MBILI TU
NI CHUMBA MASTER
SEBULE
NA JIKO ZURI
NDANI YA FENSI
BARABARA NZURI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA MWENYEWE
#NB: KODI NI 350,000 × 6 + (CAUTION MONEY 💰) 350,000 YA KULINDA NYUMBA ILIPWE SAMBAMBA NA KODI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300