House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO SEHEMU NZURI
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA (OPEN KITCHEN)
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
#KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA MBALI MBALI
BEI NI 250,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168