House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000X3)KIMARA MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
__
HIZI APARTMENT ZIPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI
#TAIILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 3
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716233412
0683597453