House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA ZIPO MBILI TU ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBON UMBALI KUTOKA LAMI 2 .5 BOD 1000 BAJAJI 700
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko kubwa
Luku yako maji yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
----------
Contact
📞#