House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO TATU TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER WASTANI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#KIBALAZA
#LUKU 3 KUNA SUBMITER
#MAJI DAWASA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING HAKUNA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA 500/UKISHUKA TU DK 4 UPO GETINI
#BEI NI 150,000 MIEZI SITA AU 160,000 KWA MIEZI 3
0715949085
0782838336