House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #350k
====
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom(inawekwa sasa) sebule jiko na public toilet
===
Kodi 350,000 Kwa mwezi Γ 6
===
Umbali KM 2 Bajaji zipo ukishuka unapiga teke mlango bodaboda 1000
==
Ndani ya fence parking IPO
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
Contact
0742260844
0657384670