House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU HII SI YA KUKOSA KABISA
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 120K
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5. 6
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI NOA 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
IPO NDAN YA FENS SAFI ILA SIO YA KULAZA GARI
INA TILLES GYPSUM SAFI
LUKU 3 NA PANA SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
0742260844
0657384670
.
DALALI SILAA