House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
(400,000X6)KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000/=X 6
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#FENI ZINAFUNGWA NYUMBA VYOTE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING
‼️ MAFUNDI WAPO KAZINI KWA KASI YA 5G NA ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/04/2024 LIPIA MAPEMA UHAMIE MAPEMA
BEI NI 400,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA ELFU 20 KWA MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HIZI KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
ANGALIZO:- APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/04/2024 WAHI NDUGU MTEJA NYUMBA ZIMEBAKIA CHACHE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453