House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HAPA KUNA CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA LIMEZIBWA KOTE YAANI JIKO
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-15 KWA MGUU AU BODA 1000
HAPA MAJI YANA FLOW NDANI INA TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
UMEME SUB METER MPO WAWILI TU
PIA KUNA PUBLIC TOILET YA NNJE
KODI 130,000X6
NYUMBA HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA KABISA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number ⬅️ 0689-547258