House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฐ๐ฌ๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Ni apartment ya vyumba viwili (2) vya kulala, chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule kubwa, Jiko na choo cha public ndani...Ipo ndani ya fensi parking space kubwa na inajitegemea umeme na maji ya DAWASCO
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: KIMARA TEMBONI
Umbali ni dk 5 tu kutembea kwa miguu kutokea Morogoro road na barabara ni LAMI TUPU hadi kwenye nyumba.
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki nne tu (400,000/- Tshs) ร miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 15,000/- tu....Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba nyingine
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ:
0654101710
0787205300