House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
(250,000 ร 6) KIMARA TEMBONI kali sana hii nyumba๐ฅ
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA
#PARKING
BEI NI 250,000/= ร 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0716223412
0683597453