House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA KOROGWE CHUMBA SEBLEE CHOO NDANI NA JIKO LAKE LA NNJE KODI LAKI MBILI (200,000)KWA MWEZI NDANI YA FENSI
..........
Seblee kubwa
Chumba Kikubwa
Public toilet
Jiko kubwa la nnje
Full tiles
Gypsum board
Aluminiuam window
Luku yake
Maji Dawasco yapo yanaflow chooni
Metar ya maji ya kwako
Parking kubwa
Nyumba nzuri ya kisasa
Mazingila safi
..........
Kodi 200.000/X 6
Kupelekwa site ni Elfu 15
.........
Ipo umbali wa 1 kilometers to main road usafili ni bodaboda 1000
...........
0655436396