House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(180,000 × 6) KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
HIO HAPO CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO
NYUMBA KALI SANA UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NDANI YA FENSI ZIKO 3
KODI LAKI MOJA NA ELFU THEMANIN 180,000 KWA MWEZI × 6
BAJAJI 700 KUTOKA MWENDOKASI
UKISHUKA KWA MKUWA KUNA NJIA YA MGUU MGUU DAKIKA 6 AU BODABODA 1000 MPAKA MLANGONI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300