House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI
๐คNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE NA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37