House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA NI
NYUMBA MPYA MPYA
Chumba master nzuli
Inapangishwa hapa umeme na maji unajitegea mwenyewe
BEI YA PANGO NI 150,000 X 6
Nyumba ipo upande wakulia kama unaenda mjini kutembea dakika 7 kwa mguu
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES SHILLING 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
0713320608
0686334182