House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= X 6
š„ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA NA KWA NYUMA KUNA SERVANT CORTER AMBAYO TAYARI INAMPANGAJI
BEI NI 400,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
šļø APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
==========
CALL 0683234124
0718367179