House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






MPYAAAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA
KODI 250,000X2/3/4/5/6
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2.5
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PAVING BLOCK ZINAWEKWA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258