House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HII HAPO š WADAU AMKA NAYO ###NAIFAULISHA MTEJA WANGU AMEHAMISHWA KIKAZI.
--------------
NYUMBA NAFAULISHA IPO KIMARA SUKA UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD ###SUKA BUS STEND ###USAFIRI WA BAJAJI NI TSH 700 BODABODA NI ELFU MOJA.
---------
SIFA ZAKE =
VYUMBA 2. VYA KULALA ( HAINA MASTER )
PUBLIC TOILET
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET YA NJE
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW YAPO 24 HOURS
FULL PAVING BLOCK
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
ZIPO APARTMENT 3 KWENYE COMPAUND MOJA NA MOJA NDIO INAFAULISHWA.
------------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
------------
0652 508128
0753 989554
======