House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT HIZO APO MPYA MPYA KABISAAAAA ZIPO KIMARA STOP OVER KAMA UNAENDA MBEZI KULIA KUTOKA BARABARANI KILOMETERS 1 TU
🔥SIFA ZAKE
CHUMBA SEBULE JIKO NA CHOO NDANI UMEME INAJITEGEMEA MAJI MNASHEA
🔥🔥 NYUMBA ZINAKAMILIKA TAREHE 20,12,2022 KUWEKA BOOKING RUKSA MAFUNDI WAPO SAITI UMEME TAYARI MAJI TAYARI
BEI YAKE
lAKI MBILI NA THElATHINI 230x6 KODI MIEZI SITA
KIDOGO TUGAWANE KARIBUNI NDUGU MADALALI
Special OFA mkataba utasoma 1.1.2023
0746 433 854