House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


——
——
APARTMENT NZURI SANA ZA KISASA INAPANGISHWA
###################
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
##############
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
##################
BEI NI 350K X 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
####################
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU
###################
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
###################
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
#####################
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja