House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA 
KODI 250,000X6 
LOCATION:KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI 
NI CHUMBA MASTER  SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA SANA 
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
YANAFLOW NDANI 
NA KILA CHUMBA KINA FENI SAFI
KILA MTU TANK LAKO LA MAJI
MAFUNDI WANA MALIZIA RANGI WANAANZA FENS 
UMBALI NI KM 2.5 
BAJAJI 700
BODA 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Contact ๐ฒ 
0713661530_0783661530




















