House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK 6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Chumba kikubwa sana
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako/mita ya maji yako
Tiles
Gypsum
Electronic fence
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 270,000/=×4
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 270000 x 4
-----------
Contact 0656623510
WSP 0752436347