House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MPYA MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA 250K X6
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 7
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO SAFI MAKABATI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING IPO PEVING BLOCK ZINAWEKWA ๐ซ
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA