House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENT YA KISASA INAPANGISHWA(800K X 6)
#NAFAULISHA MTEJA WANGU
------------------------------
๐KIMARA SUKA(Dsm) ๐น๐ฟ
๐#ITAKUWA WAZI 7/10/25
Umbali: KWA MIGUU DK 4
_________________________
MUUNDO รท
โ๏ธ VYumba 03 _ 01 Kimoja Master
โ๏ธSebule kubwa
โ๏ธJiko Kubwa lenye makabati
โ๏ธChoo Cha Public ndani
โ๏ธWapangaji #02
__________
HUDUMA รท
โ๏ธMaji (yapo Dawasa)MITA YAKO
โ๏ธ Reserve Tank Lako
โ๏ธLUKU YAKE
๐ MAZINGIRA TULIVU SANA &NDANI YA FENSI
โโโโโโโโโ
KODI; 800,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 06 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 20000/=