House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, SEBULE KUBWA SANA, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*ZIKO 5 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 250,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*ANGALIZO
==========
*KODI NI MIEZI SITA (6) UTAAMBATANISHA NA LAKI MBILI 200,000) KAMA PESA YA TAADHALI
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258