House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIII NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA
#VYUMBA 4 VYA KULALA
#VYUMBA 2 MASTER
#SEBULE KUBWA
#DAINING
#JIKO KUBWA MAKABATI
#STORE
#CHOO NA BAFU
#VYUMBA VYOTE VINA MAKABATI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA YENYEWE HEWA SAFI
#INAJITEGEMEA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA IPO PEKE YAKE KWENYE FENSI KUBWA SANA UNAWEZA HATA KUFUGA UKIPENDA
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0710614924
0688653940