House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba master Bedroom
Sebule na
Jiko zuri ndani
Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii haipo kwenye fensi Ira ina Mazingira mazuri sana usarama upo hatujawai kupata kesi ya kuibiwa
KODI YA PANGO
________________
kodi kwa mwezi ni laki mbili na ishilini tuu
(220,000)
X 5
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka zaidi
CALL 0625606710
CALL 0783794666