House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA BARUTI
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
PAVING BLOCKS MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA BARUTI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500 BODA BUKU
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300