House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HAYA SASA KIWANJA KIMESHUKA BEI MBAKA MILIONI 65 KALIBUNI
🌟 KIWANJA CHENYE NYUMBA ZINAPANGISHWA KINAUZWA KIMARA KOROGWE 🌟
📍 Eneo: Kimara Korog we – eneo tulivu, salama, na linalokua kwa kasi
🕗 Umbali: Dakika 10-12 kutoka Stendi ya Mwendo Kasi Bodaboda: Tsh 1,000 tu kufika kiwanjani.
Maelezo ya Kiwanja:
Ukubwa m = 425 sqm
Hali: Kiwanja kimepimwa
Nyumba/Banda Zilizopo: Ziko tayari na zinawapangaji . . ..........Huduma za Karibu:
Umeme: Upo tayari
Maji: Yanapatikana pale
Maduka, shule, usafiri, na vituo muhimu vyote vipo karibu
Matumizi Yanayofaa:
Makazi ya familia
Nyumba za kupangisha au uwekezaji wa mapato
Ujenzi wa nyumba ya kisasa yenye nafasi
💲 Bei: Tsh 65,000,000 tu (Maongezi madogo yapo kwa mteja makini)
Service Charge: 20,000
Kwa nini Uwekeze Hapa:
Kiwanja kipo katika sehemu safi na yenye maendeleo – uwekezaji salama, wenye faida, na usiopaswa kuachwa
!
📞 Wasiliana Nasi: no 0656623510
Wsp 0752436347



















