House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU NDANI YA FENCE MOJA NDIO IPO WAZI KODI 350,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 UNAWEZA PITIA UBUNGO RIVER SAID PIA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 VA KULALA VIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI NO MASTER
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















