House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


300,000 TEMBONI AU KIBANDA CHAMKA
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #300k
===
Pia unaweza kupita kibanda cha mkaa boda boda 1000
Bajaji 700
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
===
Zipo Apartment mbili kwenye kompaundi
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Umbali KM 2.5 kutoka Morogoro road
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
DALALI KISMATI UBUNGO
0772850032