House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


400,000
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA
SIFA ZA NYUMBA
》《》《》《》《》《》
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK BUSTANI SAFI MZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA SUKA DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 MAONGEZI KIDOGO YAPO KIDOGO TU
HAPO KUNA CHENI YA KITOCHI HAKWEPEKI KIDOGO TUPATE SOTE TUNASHIDA
0679 956 863
0696708032