House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(250,000 × 6)KIMARA KOROGWE 2KM BAJAJI 500..NJIA ZEGE TUPU..
➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA
SEBULE
CHOO NDANI (PUBLIC)
NDANI YA FENCE
➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
PARKING
➖➖➖➖➖➖➖
NB:UKILIPIA HII NYUMBA UNALIPA NA CAUTION MONEY YANI PESA YA TAHADHARI AMBAYO NI 250K SIKU UNAONDOKA HUJAHARIBU NYUMBA UNARUDISHIWA PESA YAKO
➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0654101710
0787205300