House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI FENSI NA PARKING IPO
BEI NI 200,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247