House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 120K X6
ILIPWE LAKI MOJA NA ISHIRINI MALIPO YA MIEZI SITA
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENCE HAIPO ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO
UMEME SUBMITA
MAJI DAWASA YAPO NJE
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA