House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA SUKA DAKIKA CHACHE KUTOKA KITUONI
APARTMENT KUBWA NA NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA 250,000/= × 6
💥 APARTMENT HII INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250,000/= × 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300