House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO JIONI
#SEBULE KUBWA
#MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI YA MICHONGOMA PARKING KUBWA USALAMA WA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
###0655256419