House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MPYAA MPYAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
IPO KIMARA SUKA
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KODI NI 170,000X6
UMBALI NI KM 2
USAFILI BAJAJI 700
BODABODA 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CALL 0659244543