House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


——
APATIMENTI KALI SANA KUBWA MNO INA PANGISHWA 250,000x6
LOCATION: KIMARA STOPUOVA DAKIKA 10 AU BODABODA 1000 BARABARA NIYAZEGE
NI CHUMBA MASTER KUBWA SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA LA KISASA LAOPENI KISHENI NA PUBLIC TOILET YA NNJE
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
KODI 250,000X6
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja