House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


((550,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA YA GOROFANI NDIO INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 24/06/2023
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#AIRCONDITION (AC)
#GARDEN
#HEATER YA MAJI MOTO
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA YA JUU GOROFANI NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 550,000 × 6
ILIPWE LAKI TANO NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHALI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 550,000 INALIPWA SAMBAMBA NA KODI YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
*ANGALIZO:INAKUW WAZI TAREHE 24.6.2024*
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300