House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENTS MPYA INAPANGISHWA 160,000X4
IPO KIMARA SUKA UMBALI KM 2.5
Mahali:KIMARA SUKA(DSM
Umbali: 2.5Km BAJAJI TSH 800
MUUNDO
Chumba Kikubwa Master
Sebule Kubwa
Choo Public
Jiko LA INJE
Mazingira Mazuri
Nyumba Mpya Kabisa
HUDUMA
Maji(Dawasa)Yapo Ndani
LUKU YAKO
Ndani Ya Fensi &Parking
Paving Blocks Nimeweka
Kodi tsh 160,000TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi4+ Mwezi 1 wa dalali
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=