House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(170,000X3)KIMARA TEMBONI 1 .5KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
💥 *KODI YAKE 170K X3//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI ELFU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#OPEN KITCHEN KUBWA SANA
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
🏡🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024