House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA NA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
BEI NI 400K X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA
🎤NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087