House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA
KIDI NI 130,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 3, 4 NAKUENDELEA
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS SAFI
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
UMBALI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670