House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
UKIJA KUIONA NA UKAIPENDA MAZUNGUMZO YAPO KIDOGO NDG MTEJA WANGU 
NI APARTMENT TATU TU KWENYE FENCE 
NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN 
HIZI APARTMENT ZIPO HAPA KIMARA SUKA KARIBU KABISA NA KITUO CHA MWENDOKAS NI DK 4 TU UPO NYUMBAN 
SIFA ZAKE 
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI MAZINGIRA MAZURI PARKING IPO 
HII NYUMBA UKISHUKA TU KWENYE MWENDOKAS UNATEMBEA DK 4 TU UPO NYUMBAN 
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA .  Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















