House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=============================================
*CHUMBA, SEBULE KUBWA, PUBLIC TOILET NDANI, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*ZIKO 2 KTK SEHEMU MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU&MAJI#HAKUNA FENCE
*NYUMBA IKO UMBALI WA DK10 KWA MGUU, PKPK 1000/=
*KODI 250,000/= KWA MWEZI
____________________________________________________________________
*ANGALIZO*
===========
*HII NYUMBA IMEBAKIA FINISHING NDOGONDOGO ZA KUMALIZIA NDANI, ITAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHE 1/12/2025...AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO..KUONA NA KULIPA LUKSA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
____________________________________________________________________
0713661530_0783661530



















