House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
โผ๏ธMAJI DAWASA YAPO MASAA 24 ILA YANATOKA NJE TUU NA RESERVED TANK LIPO
BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU
โโ MAFUNDI WANAENDELEA NA UKARABATI WA KUPAKA RANGI NYUMBA NA VITU VINGINE VIDOGO VIDOGO โโ
Call/WhatsApp
0659425599
0782006292